VIDEOMPYA: Rosa Ree Alivyojiachia Kwenye Club Banger ‘Dip And Whine’

 

Rapa wa kike bongo Rosa Ree ameileta video ya ngoma yake mpya Dip And Whine ambayo inafanya powa katika kumbi za starehe akiwa na rapa G Nako toka kundi la Weusi.

 

Video imeongozwa na Travelah toka Kwetu Studio.

 

TAZAMA VIDEO HAPA

 


Loading...

Toa comment