VIDEOMPYA:Alikiba Atemana Na Mpenzi Wake ‘Mbio’

 

Msanii Alikiba Boss wa Kings Music ameileta Brand new video inajulikana kwa jina la Mbio.

 

Alikiba ameelezea wimbo wake wa huo kwa kuandika kwenye akaunti ya Instagram“MBIO…..ngoma ambayo niliandika miaka 10 iliyopita nilipokwenda Oman 🇴🇲 kwa mara ya kwanza, miaka 10 baadae niliporudi Oman kwa ajili ya concert yangu kubwa at Intercontinental Hotel, I got inspired to finalise the song na kushoot Music Video in Muscat“.Ameandika Alikiba.

 

Wimbo huu unatafsiri ya mwanaume alipenda pasipo pendwa.Tazama video uweze kuelewa.

 

TAZAMA VIDEO


Loading...

Toa comment