visa

VIDEOMPYA:Darassa, Jux Waisifu ‘Leo’ Na Warembo Kama Wote

Msanii Darassa ameileta video ya wimbo wake mpya akiwa na Juma Jux, inaitwa Leo.

 

Video imeongozwa na Hanscana toka Hanscana Brand, Audio imefanywa na Mix Killer pamoja na Abbah Process.

 

TAZAMA VIDEO HAPA

 
Toa comment