VIDEOMPYA:Harmonize, Queen Darleen ‘Mbali’

Queen Darleen, Harmonize toka lebo ya WCB wameileta video ya pamoja inaitwa ‘Mbali

 

Video imeongozwa na Kenny toka Zoom Production Tanzania, Audio imetengenezwa na Lizer Classic ndani ya Wasafi Records.

 

TAZAMA VIDEO HAPA

Toa comment