VIDEOMPYA:Queen Darleen Awataja Wema, Zari, Uwoya, Ndani Ya Muhogo

 

Queen Darleen toka WCB ameileta video ya wimbo wake mpya, ‘Muhogo’ kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2019.

 

Ndani ya video amewataja mastaa wa kubwa kwenye game ya muziki pamoja na nje ya muziki akiwemo Wema, madam Hero, Zari, Uwoya na wengine.

 

Video imeongozwa na Kenny toka Zoom Production.

 

TAZAMA VIDEO HAPA

Toa comment