The House of Favourite Newspapers

Vigezo vya Kupewa Kitambulisho Cha Uraia Maonyesho Ya Sababa

0
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewatangazia wananchi wote wakazi wa Dar es salaam kuwa watapatiwa ofa maalum ya vitambulisho vya uraia siku ya maonyesho ya sababa ya 41 yanayotarajiwa kufanyikia katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini DSM.
Usajili huo utafanyikia kwenye banda la NIDA kuanzia tarehe 28 Juni hadi Julai 10 mwaka huu.
Leave A Reply