The House of Favourite Newspapers

Vigogo waliotorosha makontena kuanza kufilisiwa leo

0

Kontena

WADAIWA 16 waliokwepa kulipa kodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baada ya kutorosha kontena za mizigo yao kwenye Bandari Kavu (ICD) ya Azam mwishoni mwa mwaka jana, mali zao zinaanza kukamatwa leo na kufilisiwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Udalali ya Yono, iliyopewa kazi ya kufuatilia wadaiwa hao wakiwemo baadhi ambao wamekamilisha malipo, Yono Kevella aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana.

Zaidi, ingia hapa: HABARI LEO

Leave A Reply