The House of Favourite Newspapers

Viongozi Wababe Afrika, Wala ‘Bata’ na Wapigaji – Video

ZAMANI tuliamini vijana wana mbio, wazee wanajua njia, tukawapa mamlaka ya kutuongoza tufike salama lakini wakatuingiza msituni, tukapoteana, tukaprove kumbe uongozi si umri bali ni matumizi mazuri ya akili.

Matumizi mazuri ya akili ni kuwa tayari kufa kwaajili ya watu wako, wakati matumizi mabaya ni kuua watu wako kwaajili ya majambazi.

TAZAMA VIDEO HII USIKIE MENGI

Comments are closed.