The House of Favourite Newspapers

Aunty, Shamsa Waendeleza Vita ya Majibizano…

0

IKIWA ni saa chache baada ya mwanadada staa wa Bongo Fleva, Shamsa Ford, kudai kuwa anashangazwa na rafiki yake Aunty Ezekiel kuwa na mahusiano na “watoto wa chekechea,” Aunty ameamua kuvunja ukimya na kumjibu.

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aunty ameshusha ujumbe mzito kwa Shamsa, huku akimweleza kuwa yeye si msemaji wa familia yake.

 

“Anayekuheshimu mheshimu pia, sitaki kuongea sana, nakuheshimu Shamsa.  Nakuomba tuheshimiane, wewe sio msemaji wa familia yangu wala hayakuhusu ya familia yangu…, ya kwako mangapi au unavyofanyia kizani unaona watu hawakujui?   Sitaki, sitaki!” amesema Aunty.

 

Leave A Reply