Vituo 525 Vitatumika Kupiga Kura Nachingwea – Msimamizi Uchaguzi Afunguka – Video
Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka huu tarehe 27/11/2024.