The House of Favourite Newspapers

‘Viva Roma Viva’ wafungiwa rasmi

0

Roma - Viva RomaBaraza la Sanaa Tanzania (Basata) wameufungia rasmi wimbo wa mwanamuziki Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ uitwao ‘Viva Roma Viva’ na nyinginezo zenye ujumbe kama ule unaokiuka maadili.

Basata kuwa, imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba, hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.

Leave A Reply