The House of Favourite Newspapers

Vodacom na DLab Wahitimisha Mafunzo ya Code Like a Girl Jijini Dar

0
Mkurugenzi wa Dijitali na huduma za ziada Vodacom Tanzania plc, Nguvu Kamando akizungumza na wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali nchini waliohitimu mafunzo ya Tehama yaitwayo “code like a girl” yanayolenga kuwajengea uwezo katika Tehama na kubuni tovuti, ambayo yameandaliwa na DLab Tanzania na kufadhiliwa na Vodacom Tanzania Plc. 
Mwanzilishi mwenza wa DLab, Mahadia Tunga akizungumza na wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali nchini waliohitimu mafunzo ya Tehama yaitwayo “code like a girl” yanayolenga kuwajengea uwezo katika Tehama na kubuni tovuti, ambayo yameandaliwa na DLab Tanzania na kufadhiliwa na Vodacom Tanzania Plc.
Leave A Reply