Vodacom Tanzania Foundation yaipiga ‘tafu’ Lukiza Autism Foundation
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mh Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi picha iliyonunuliwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo baada ya mwenyekiti huyo kutoa dau kubwa zaidi, wakati wa hafla ya kuchangia fedha kwa ajili ya watoto wenye usonji, iliyoandaliwa na Lukiza Autism Foundation jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Hilda Nkabe.





