The House of Favourite Newspapers

Vodacom Tanzania Foundation yazindua soma kidijitali shule ya Msingi Diamond

0
Mratibu wa mradi wa  Instant Schools ulio chini ya Vodacom Tanzania Foundation, Christine Lucas  akiongea na wana kamati  na  wazazi wa wanafunzi wa  darasa la Tano  wa Shule ya msingi Diamond jijini Dar es Salaam, kuhusiana na Program ya Soma Kidijitali  ambapo mwanafunzi anapata masomo mbalimbali kupitia simu ya kiganjani, elimu hiyo ilitolewa kwa wazazi wakati wa kikao  kilichofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.

Matukio katika Picha:

 

Leave A Reply