The House of Favourite Newspapers
gunners X

Vodacom Tanzania Imefika Soko La Machinga Kuwapatia Wateja Wao Zawadi Ya Sikukuu

0
Katika muendelezo wa kusambaza Kapu la Vodacom kwenye maeneo mbalimbali nchini, timu ya Vodacom Tanzania Plc imefika Soko la Machinga Dodoma na kuwapatia wateja wake zawadi za makapu yaliyo sheheni vitu lukuki. Zoezi hili linaendeleza utoaji wa makapu ambao tayari umefanyika katika mikoa ya mbalimbali hapa nchini. Hatua hii inaonyesha utayari wa Vodacom kurudisha shukrani kwa wateja wake, kusherehekea pamoja nao katika msimu huu wa sikukuu na kuhitimisha sherehe za miaka 25 ya huduma nchini Tanzania
Leave A Reply