
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo (kulia) na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania Plc Rosalynn Mworia wakikata utepe kuzindua duka la kwanza la kampuni hiyo lililopo mjini Kisarawe, duka hilo litatoa huduma zote kwa wateja wa Vodacom.
Jokate Mwegelo akimkabidhi zawadi ya simu mteja wa muda mrefu wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Saleh Semjaila, sanjari na uzinduzi wa duka la kwanza la kampuni hiyo lililopo mjini Kisarawe, katikati ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Mwanana Shabani.
Wafanyakazi wa kampuni hiyo wakishangilia mara baada ya uzinduzi wa duka hilo lililopo jirani na stendi ya Kisarawe
Mheshimiwa Jokate Mwegelo akicheza ngoma ya asili kushrehekea kuzinduliwa kwa duka hilo jipya
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Next Post




