The House of Favourite Newspapers
gunners X

Vodacom Tanzania Yaendelea Kugawa makapu Ya Zawadi Msimu Wa Sikukuu

0

Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania Plc, George Venanty (kushoto) akikabidhi kapu la Voda kwa moja ya mteja wa kampuni hiyo bi Regina Julius ikiwa ni muendelezo wa Kampuni ya Vodacom ya ugawaji wa  makapu ya Vodacom kwenye msimu wa huu wa sikukuu, ikilenga kusherehekea pamoja na wateja wao. Hafla hii imefanyika Soko Kuu jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Leave A Reply