visa

Vodacom Wajanja Hawazimi Data – Video

Mkurugenzi Linda akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).

Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom leo imezindua huduma yake mpya Wajanja hawazimi data.

Katika huduma hiyo watumiaji wa voda watakuwa wakipata data za kutosha kwa gharama nafuu pamoja na kifurushi kipya kiitwacho JIMWAGE.

Mkuu wa Idara ya Bidhaa za Vodacom, Calvin Mmasy akisisitiza juambo.

Akizungumza na wanahabari kwenye hafla iliyofanyika leo Makao Makuu ya Kampuni hiyo zilizopo Morocco jijini Dar, Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Kampuni hiyo, Linda Riwa katika kifurushi cha JIMWAGE mteja ataweza kupata data pamoja na muda wa maongezi kwa gharama nafuu zaidi.

Mkurugenzi Linda amesema wameamua kufanya hivyo ili kuwapunguzia gharama na kuwaboreshea huduma wateja wao ili waweze kwenda na wakati katika ulimwengu huu wa kidigitali.

Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom, Harrieth Lwakatare naye akizungumza kwenye hafla hiyo.

Wajanja wasiozima data wakiwa katika shangwe kwenye hafla hiyo.

Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom leo imezindua huduma yake mpya Wajanja hawazimi data.

Katika huduma hiyo watumiaji wa voda watakuwa wakipata data za kutosha kwa gharama nafuu pamoja na kifurushi kipya kiitwacho JIMWAGE.

Akizungumza na wanahabari kwenye hafla iliyofanyika leo Makao Makuu ya Kampuni hiyo zilizopo Morocco jijini Dar, Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Kampuni hiyo, Linda Riwa katika kifurushi cha JIMWAGE mteja ataweza kupata data pamoja na muda wa maongezi kwa gharama nafuu zaidi.

Mkurugenzi Linda amesema wameamua kufanya hivyo ili kuwapunguzia gharama na kuwaboreshea huduma wateja wao ili waweze kwenda na wakati katika ulimwengu huu wa kidigitali.

HABARI: NEEMA ADRIAN | PICHA : RICHARD BUKOS / GPL
Toa comment