The House of Favourite Newspapers

Vodacom Yaendelea Kufanikisha Wiki Ya Usalama Barabarani

thumbnail_003-road-safety

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga (kulia) akikabidhiwa stika na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia jijini Da res Salaam leo,zitakazotumika katika zoezi la wiki ya Usalama barabarani inayodhaminiwa na Vodacom Tanzania itakayofanyika kitaifa mkoani Geita hivi karibuni.

thumbnail_001-road-safety-1 Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga (wapili kulia)wakipongezana na wadhamini wa wiki ya Usalama barabarani itakayofanyika kitaifa mkoani Geita hivi karibuni wakati wa kukabidhiana stika maalum kwa ajili ya zoezi hilo jijini Dar eS Salaam leo,kutoka kushoto Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia,Mkurugenzi mkuu wa Puma energy,Philippe Corsaletti na Mkurugenzi wa Selcom,Benjamin Mpamo.

thumbnail_002-road-safetyMkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga (kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na wiki ya Usalama barabarani itakayofanyika kitaifa mkoani Geita hivi karibuni,wakati wa kukabidhiwa stika zitakazotumika katika zoezi hilo zilizokabidhiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia(wapili kulia)
thumbnail_004-road-safety
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga (kulia)akionesha stika zitakazotumika katika wiki ya Usalama barabarani itakayofanyika kitaifa mkoani Geita hivi karibuni wakati wa kukabidhiana stika hizo maalum kwa ajili ya zoezi hilo leo jijini Dar eS Salaam,wanaoshuhudia kutoka kushoto Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia,Mkurugenzi mkuu wa Puma energy,Philippe Corsaletti.

Comments are closed.