The House of Favourite Newspapers
gunners X

Vodacom Yakabidhi Vifaa Kwa Serikali ya Zanzibar Kupambana Covid-19

0
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akipunga mkono kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (haonekani pichani) wakati akikabidhi kiasi cha shilingi milioni 300 kwa serikali ya Mapinduzi Zanzibar.zilizotolewa na kampuni ya Vodacom leo ili kupambana na kudhibiti ongezeko la virusi vya Corona visiwani humo, ambapo walifanya makabidhiano kwa njia ya mtandao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia

 

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akipunga  mkono kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (haonekani pichani) wakati akikabidhi kiasi cha shilingi milioni 300 kwa serikali ya Mapinduzi Zanzibar .

 Matukio katika Picha;

 

Leave A Reply