Vodacom Yashirikiana na Mdundo Katika Kampeni ya Sambaza Shangwe, Gusa Maisha
Vodacom kwa kushirikiana na Mdundo wanakuletea kampeni ya Sambaza Shangwe, Gusa Maisha ambapo zawadi kibao zitashindaniwa katika msimu huu wa mwisho wa mwaka.
Zawadi zitakazoshindaniwa ni pamoja na pesa taslimu shilingi milioni 10, Tv, bodaboda, 4G/5G routers na nyingine kibao.
Kushiriki, Jiunge na huduma ya Mdundo DJ Mixes, au tumia huduma ya Lipa na M-Pesa
#SambazaShangwegusamaisha #mdundoDJMixes