Vodacom Yawanoa Mawakala Kanda Ya Kati Kukabili Uhalifu Wa Kifedha

Mshiriki wakala Richard Malisa akipokea hundi ya fedha ya kiasi cha Tsh 200,000 kutoka kwa timu ya M-Pesa ya Vodacom baada ya kumaliza mafunzo na maadhimisho ya miaka ya 25 ya kampuni ya Vodacom yaliyofanyika mkoani Morogoro, ambapo mawakala zaidi ya 120 wa huduma za Kifedha kutoka kanda kati ( Dodoma, Morogoro na Singida) walijengewa uwezo wa kutambua na kuthibiti uhalifu wa kifedha sambamba na kuongeza uelewa kuhusu bidhaa na huduma za Vodacom.




Comments are closed.