VOLKANO imeibuka jana asubuhi katika visiwa vya Hawaii, Marekani, na kuharibu nyumba 467.
Kuibuka kwa volkano hiyo ambapo ni pamoja na moto mkubwa unaoendelea kuwaka na kutoa moshi mkubwa angani, kumesababisha maelfu ya watu kuzikimbia nyumba zao kutokana na moto huo na tope kubwa la mot ambao linarushwa juu na kusambaa sehemu mbalimbali.
Zifuatazo chini ni baadhi ya matukio ya kulipuka kwa volkano hiyo:
Comments are closed.