The House of Favourite Newspapers

VPL: Yanga 2-0 Simba, dakika 90 zimekwisha

0

SIMBA YANGA (3)Kikosi cha timu ya YangaSIMBA YANGA (4)Kikosi cha timu ya SimbaSIMBA YANGA (5)SIMBA YANGA (2)Mashabiki wa Yanga.SIMBA YANGA (6) Mashabiki wa Simba.SIMBA YANGA (7)Amissi Tanbwe wa Yanga akimtoka beki wa Simba.SIMBA YANGA (8)Shughuli ikiendelea.
IMG_0587Amissi Tambwe na Ngoma wakishangilia goli la kwanza.
IMG_0598Kaba nikukabe.SIMBA YANGA (1)Majina ya wachezaji wa timu ya simba na wa Yanga.

LIGI Kuu Tanzania Bara mceho wa watani wa jadi, Simba na Yanga umekwisha, Yanga wakiibuka na ushindi mnono wa bao 2-0.

Bao la kwanza la Yanga liliwekwa kimyani na shambuliaji Amissi Tambwe dakika ya 44.

Malimi Busungu nae akamipa bao la pili na la kuongoza kwa timu yake hiyo dakika ya 79 akimalizia mpira wa kurushwa wa Mbuyu Twite.

Dakika 90 zimemalizika, Yanga akiondoka na pointi tatu mhimu na kuendelea kujikita kileneni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara.

PICHA NA MUSSA MATEJA/GPL

Leave A Reply