The House of Favourite Newspapers

Wababe Waliotazamwa Zaidi YouTube Mwaka 2021

0

MTANDAO wa YouTube umeachia orodha ya wasanii 10 waliopata watazamaji wengi katika mtandao wa YouTube kwa 2021 ndani ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Kutoka Bongo Tanzania katika orodha hiyo Tanzania yumo Diamond Platnumz na Ray Vanny ambao ndio wasanii pekee walioingia kwenye top ten.

 

 

Leave A Reply