The House of Favourite Newspapers

Wabunge Kuwasilisha Pendekezo la Kumwondoa Naibu Rais wa Kenya Bunge la Seneti

0

Wabunge wanatarajiwa kuwasilisha pendekezo la kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua katika nafasi hiyo, Oktoba 1, 2024 ikielezwa kuwa mchakato wa kukusanya sahihi za kupitisha hoja hiyo unaendelea

Muswada huo unatakiwa kuungwa mkono na Watunga Sheria 117 ili uingizwe Bungeni, pia utahitajika kupata ridhaa ya Wabunge 233 kabla ya kuwasilishwa katika Bunge la Seneti

Hatua hiyo inakuja wakati Gachagua akidaiwa kutokuwa na uhusiano mzuri na Rais William Ruto ambapo inadaiwa baadhi ya sababu zilizowasukuma Wabunge kufikia hatua hiyo ni masuala ya ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi, kufadhili fujo za Vijana (Gen Z), kutoa siri za Serikali na Kuchochea Ukabila.

KUMBE KUMBUKA AMEZALIWA MAPACHA – ASIMULIA JINSI PACHA WAKE ALIVYOLIWA NA MAMBA WAKATI WAKIVUKA MTO

Leave A Reply