The House of Favourite Newspapers

Wachezaji 10 Wanaolipwa Mkwanja Mrefu Man Utd, Alexis Sanchez Yumo

Paul Pogba akishangilia na Jesse Ellis Lingard katika moja ya mechi ya Ligi Kuu.

Mshambuliaji Alexis Sanchez ambaye muda wowote kuanzia sasa anatarajiwa kujiunga na Man United akitokea Arsenal, ametajwa kuwa ndiye mchezaji atakayekuwa akilipwa mkwanja mrefu zaidi kikosini humo akimuacha kwa mbali kiungo, Paul Pogba.

Romelu Lukaku.

Mtandao maarufu ambao unaaminika kwa habari za usajili Ulaya umeweka wazi kuwa Sanchez atakuwa akilipwa £450,000 kwa wiki ukiwa ni mshahara mkubwa kwa wachezaji wanaocheza Premier League. Angalia listi ya wachezaji wengine na Man U wanaomfuatia Sanchez kwa kupokea mishahara mikubwa.

1. Alexis Sanchez – £450,000

2. Paul Pogba – £260,000

3. Romelu Lukaku – £220,000

Alexis Sanchez.

4. David de Gea – £200,000

5. Zlatan Ibrahimovic – £150,000

6. Juan Mata – £145,000

7. Nemanja Matic – £140,000

8.  Henrikh Mkhitaryan – £140,000

9. Marouane Fellaini – £120,000

10. Chris Smalling – £120,000

Comments are closed.