Wadaiwa Sugu wa Ardhi Wafikishwa Mahakamani – Video

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, leo Jumatano, Machi 25, 2020, imewafikisha mahakamani wadaiwa sugu wa kodi ya pango la ardhi kuanzia katika maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni jitihada za wizara hiyo kuhakikisha wamiliki wote wa ardhi wanalipa kodi kwa mujibu wa sheria.

 

Wadaiwa sugu wa kodi za ardhi waliofikishwa mahakamani leo ni wale wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.

WADAIWA SUGU KODI YA ARDHI ILALA WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI

Toa comment