Waethiopia 227 Mbaroni kwa Uhamiaji Haramu Dar – Video

IDARA ya Uhamiaji katika Mkoa wa Dar es Salaam imewatia mbaroni watuhumiwa 602 kwa tuhuma za uhamiaji haramu tangu Januari mwaka huu huku kati yao, watuhumiwa 227 wakiwa ni Raia wa Ethiopia na tayari huku mashauri 118 alifunguliwa katika mahakama ya Kisutu.

 

Akizungumza na wanahabari jijini Dar leo Mei 24, Ofisa Habari wa Crispin Ngonyani amesema, Raia wa Ethiopia ndiyo wanaowasumbua na kuingia kwa wingi nchini kila mara.

FUATILIA TUKIO HILO HAPA

Toa comment