Wafanyakazi Wa Global Wakipata Chakula ‘Hawaii Beach’ Dar

Mhariri Mtendaji wa Global Publisher, Saleh Ally (kulia) akijichana vilivyo katika Bata…Batani ya wafanyakazi wa Global Publishers iliyofanyika Jumamosi iliyopita Hawaii Beach. Kwa mbali (kushoto) ni msanii Hamorapa akiwa na meneja wake ambao walijumuika katika sherehe hiyo.

Wafanyakazi wa Global Publishers wakipata chakula cha mchana katika ufukwe wa Hawaii iliyopo Boko – Ununio Jijini Dar siku ya Jumamosi.

…Wakiendelea kupata chakula.

Ibrahim Musa (kulia), Omary Mdose (katikati) na Mayasa Mariwata (kulia) wakiendelea kupata chakula cha mchana.

…Wakiendelea kufanya yao.

Omary Mdose akijichana kwa nyama ya mbuzi.

Said Ally akifurahia tukio hilo la wikiendi.

(PICHA: SWEETBERT LUKONGE | GLOBAL PUBLISHERS)
Toa comment