The House of Favourite Newspapers

Wafungwa 30 Wauawa Gerezani, Wengine Wakatwa Shingo

0

wafungwa BRAZIL: Wafungwa zaidi ya 30 wameripotiwa kufariki dunia huku wengine wakiwa wamekatwa shingo zao kufuuatia kuzuka kwa mapigano baina ya magenge ya wafungwa katika Gereza Kuu la Alcaçuz. lililopo katika Jimbo la Rio Grande do Norte nchini Brazil.

wafungwa1Aidha polisi imeeleza kuwa imefanya jitihada za kufika eneo la tukio ili kuonea nini watakifanya kuokoa roho za mamia waliomo ndani ya gereza hilo kubwa nchini humo.wafungwa-brazil

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa Polisi hao walipofika nje ya ukuta wa gereza hilo walisubiri hadi kutakapopambazuka ndipo waingie ndani kukabiliana na tukio hilo.wafungwaq

Mwaka jana pekee zaidi ya wafungwa 100 walifariki katika makabiliano kama hayo yaliyofanyika awali mwezi huu nchini humo katika magereza yaliyoko katika majimbo ya Amazonas na Roraima.

Leave A Reply