The House of Favourite Newspapers
gunners X

Wagonjwa wa Corona Wafikia 88 Tanzania

0

Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88 na wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalam afya.

 

Leave A Reply