Waislam Nchini Washerehekea Eid Al Adha – Video

Waumini ya dini ya Kiislam nchini Tanzania wameuangana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Eid Al Adhaa ambayo Swala ya kitaifa imefanyika katika viwanja vya Masjid Kibaden Chanika Zogowali Ilala jijini Dar es salaam.

Swala hiyo inaongozwa na Sheikh wa Wilaya ya ILala, Sheikh Adam Mwinyi Pingu.

Baraza la Eid litaanza baada ya Swala.Loading...

Toa comment