The House of Favourite Newspapers

Waitara: Wabunge Wa Vyama Vingine Njooni Chama Cha Mapinduzi – Video

0


Mbunge wa Tarime vijijini Waitara amewataka wabunge wa vyama vingine wahamie chama cha mapinduzi CCM kwani huko wanaenjoi na kufanya mambo wanavyotaka kuliko huko kwingine kwani ukihoji kitu unafukuzwa.

‘Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde sasa hivi ni Waziri na Mollel naye ni Waziri hawa 19 nao tunao na mimi nakula upepo”

Leave A Reply