The House of Favourite Newspapers

Wajue Generation Z (Gen Z): Watoto Wa 2000 Vinara Wa Maandamano Kenya -Video

0

GENZ Z au Generation Z yaani Kizazi Z ni kundi ambalo limekuwa maarufu duniani kutokana na kile wanachokifanya nchini Kenya.
Hawa Genz ni kundi rika lenye kuhusisha watu waliozaliwa kuanzia mwaka 1996 mpaka 2010.

Mwenye umri mkubwa zaidi kutoka Generation Z ana miaka 28 na mdogo kabisa miaka yake ni 14.

Wakati mwingine, Generation Z huitwa Zoomers.
Mwaka 2024 ni mwaka ambao waliozaliwa mwaka 2006 wanatimiza umri wa miaka 18.

Leave A Reply