The House of Favourite Newspapers

WAJUE WANAMUZIKI NA WALIOSIKILIZWA ZAIDI MWAKA 2018 SPOTIFY

 

Mtandao wa Spotify unaouza nyimbo na kumwezesha mtu kusikiliza, umetoa orodha kamili ya mwaka 2018 ya wasanii pamoja na nyimbo zao zilizosikilizwa zaidi kwa mwaka 2018.

 

Rapa Drake amekuwa ni msanii wa kwanza kwa upande wa Marekani na kidunia katika mtandao huo kwa wimbo wake wa ‘God’s Plan‘ pamoja na albam ya ‘Scorpion’  kwa mwaka 2018.

 

Drake ni msanii pekee mwenye rekodi ya juu zaidi kwa nyimbo zake kusikilizwa katika mtandao huo kuliko msanii mwingine yeyote.

 

Kwa upande wa wasanii wa kike, mwanadada Ariana Grande amefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwa mwaka 2018 baada ya albam yake ya ‘Sweetner ‘ kusikilizwa zaidi na wimbo wake wa ‘Thank you next‘  kufanya vizuri kwa kusikilizwa mara milioni 220 tangu imetoka.

Cardi B amefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwa upande wa Marekani ambapo albam yake ya Invasion Of Privacy ndiyo imempa credit iliyokaa nafasi ya nne.

 

TAZAMA ORODHA KAMILI YA TOP 5 HAPO CHINI.

 

ORODHA YA KIDUNIA

WASANII WA KIUME WALIOSIKILIZWA ZAIDI 2018

1. Drake
2. Post Malone
3. XXXTentacion
4. J Balvin
5. Ed Sheeran

WASANII WA KIKE WALIOSIKILIZWA ZAIDI 2018

1. Ariana Grande
2. Dua Lipa
3. Cardi B
4. Taylor Swift
5. Camila Cabello

NYIMBO ZILIZOSIKILIZWA ZAIDI 2018

1.“God’s Plan” – Drake
2. “SAD!” – XXXTentacion
3. “rockstar” (feat. 21 Savage) – Post Malone
4. “Psycho” (feat. Ty Dolla $ign) – Post Malone
5. “In My Feelings” – Drake

 

ALBAM ZILIZOSIKILIZWA ZAIDI  2018

1.Scorpion– Drake
2. beerbongs & bentleys – Post Malone
3. ? – XXXTentacion
4. Dua Lipa – Dua Lipa
5. ÷ – Ed Sheeran

ORODHA KWA UPANDE WA KIDUNIA (US)

U.S. WASANII WA KIUME WALIOSIKILIZWA 2018

1. Drake
2. Post Malone
3. XXXTentacion
4. Travis Scott
5. Khalid

MAREKANI: WASANII WA KIKE WALIOSIKILIZWA ZAIDI 2018

1.Cardi B
2. Ariana Grande
3. Taylor Swift
4. Nicki Minaj
5. Halsey

MAREKANI: NYIMBO ZILIZOSIKILIZWA 2018

1.“God’s Plan” – Drake
2. “SAD!” – XXXTentacion
3. “Psycho” (feat. Ty Dolla $ign) – Post Malone
4. “Lucid Dreams” – Juice WRLD
5. “Nice For What” – Drake

MAREKANI: ALBUM ZILIZOSIKILIZWA 2018

1.Scorpion– Drake
2. beerbongs & bentleys – Post Malone
3. ? – XXXTentacion
4. Invasion of Privacy – Cardi B
5. Stoney – Post Malone

Comments are closed.