The House of Favourite Newspapers

Wakala wa Magazeti ya Global Afunga Ndoa

0

7.Keki zikiwekwa kwenye sahani kwa ajili ya kulisha wageni waalikwa.Keki ikikatwa na kuwekwa kwenye sahani.2.Baadhi ya wanakamati wa sherehe hiyo (waliopo nyumba ya bwana harusi na bibi arusi) wakiwa katika picha ya pamoja.Baadhi ya wanakamati wa sherehe hiyo (waliopo nyuma ya bwana harusi na bibi harusi) wakiwa katika picha ya pamoja.3.Ndugu na jamaa wakiwa katika sherehe hiyo.Ndugu na jamaa wakiwa katika sherehe hiyo.4.Bwana harusi,Dickson akimlisha keki maalum mkewe, Neema.Bwana harusi, Dick Kanjale, akimlisha keki mkewe, Neema.5.Bibi arusi,Neema akionesha ujanja weke kumlisha keki mmewe, Dikson hapo jana.Bibi harusi, Neema, akionesha manjonjo yake kumlisha keki mmewe, Dick Kanjale.6.Bwana harusi na bibi arusi wakikata keki iliyokuwa imeandaliwa.Bwana na bibi harusi wakikata keki.
8.Maharisi na wapambe wao wakipia 'chairs' .Maharusi na wapambe wao wakipiga ‘cheers’.9.Furaha kwa kwenda mbele.Furaha kwa kwenda mbele.1.MC, wa sherehe hiyo akizungumza jambo.Mshereheshaji (MC)  wa sherehe hiyo, Ritha Chuwalo, akizungumza jambo.10.Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia sherehe hiyo.Ndugu,  jamaa na marafiki wakifuatilia sherehe hiyo.11.Bibi harusi akimtambulisha mmewe,Dickson (kulia kwake) wakwe zake.Bibi harusi akimtambulisha mmewe (kulia kwake) kwa wakwe zake.12,keki iliyokuwa imeandaliwa kwa bwana harusi na bibi harusi.Mwonekano wa keki ulivyokuwa.

13.Aliyekuwa mwenyekiti wa maandalizi ya harusi hiyo, Joseph Kunda akitoa zawadi kwa niaba ya kamati nzima ya maandalizi.Mwenyekiti wa maandalizi ya harusi hiyo, Joseph Kunda, akitoa zawadi kwa niaba ya kamati nzima ya maandalizi.14.Wazazi wa uapnde wa bwana harusi sehemu walipokuwa wameketi.Wazazi wa  bwana harusi wakifuatilia sherehe ya wapendwa wao.

WAKALA wa magazeti ya kampuni ya Global Publishers Ltd, inayochapisha  magazeti ya Championi, Uwazi, Amani, Risasi na Ijumaa anayefanyia shughuli zake jijini Dar es Salaam, Dick  Kanjale, amefunga ndoa jana na binti aitwae, Neema Sterwart.

Hafla ya sherehe hiyo imefanyika jana katika ukumbi wa polisi uliopo Chang’ombe jijini Dar es Salaam ambapo ndugu na jamaa walifika kwenye hafla hiyo kuwapa pongezi huku zawadi mbalimbali zikitolewa kwa bibi harusi na bwana harusi.

Katika hafla hiyo wazazi wote wa pande zote mbili walitoa usia wa kuwaasa watoto wao wapendwa juu ya kuwa na mshikamano, uvumilivu na kuheshimiana ili kuwa na mapenzi mema katika familia yao ambapo wanaharusi hao walionesha nyuso za kuupokea usia huo.

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply