The House of Favourite Newspapers

Wakazi wa Dar wajitokeza kuchangia damu leo

0

changia damu (2)

changia damu (3)

changia damu (4)

changia damu (5)

changia damu (6)

Pichani juu wakazi mbalimbali wa Jiji la Dar wakichangia damu leo katika Uwanja wa Karume.

changia damu (7)

Maofisa wa Damu Salama wakisimamia zoezi hilo.

changia damu (8)

WAKAZI wa viunga vya Jiji la Dar es Salaam leo wamejitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Karume kushiriki Kongamano la Changia Damu Okoa Maisha lililoanza rasmi leo.

“Kongamano hilo la Changia Damu Okoa Maisha litadumu kwa siku mbili kuanzia leo na kesho likiwa na lengo la kukusanya lita kati ya 5,000 na 6,000 ambazo ni asilimia 75 ya mahitaji ya damu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Tamasha hilo limedhaminiwa na Kampuni ya Global Publishers Ltd, Clouds FM, Pepsi Tanzania, Startimes, Abbott Fund, Benki ya CRDB, Mfuko wa Pensheni wa GEPF pamoja na Motisun Group Tanzania Ltd, hata hivyo watu wameombwa kujitokeze kwa wingi kuchangia damu ili kusaidia wahitaji pindi panapohitajika huduma hiyo.

Leave A Reply