The House of Favourite Newspapers

Wakazi wa Dodoma Walivyonufaishwa na Tigo Kwenye Maonesho ya Nane Nane

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya kati Said Iddi, akimpa zawadi mkazi wa Dodoma, Mary Isaya baada ya kununua Simu janja, aina ya ZTE katika Viwanja vya Nane Nane, Dodoma.