The House of Favourite Newspapers

Walid, Chin Bees, Country Boy walivyowapagawisha mashabiki Usiku wa Kusi (Pichaz + Video)


WAKALI katika Muziki wa Hip Hop Bongo, County Boy, Chin Bees, Walid na Nyandu Tozz wamewapagawisha mashabiki wengi waliofurika katika Usiku wa Kusi Idd Pili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo MBagala Zakhem jijini Dar.

 

Katika shoo hiyo iliyoandaliwa na Global Publishers kwa kushirikiana na Wasafi Classic Baby (WCB), kulishuhudiwa mastaa hao wa Hip Hop Bongo wakitumia muda mwingi kuchana na mashabiki mstari kwa mstari huku baadhi yao wakijirusha kucheza na mashabiki.

Walid akiimba moja kati ya nyimbo zake ndani ya Dar Live
Walid akizungumza na mashabiki
Umati uliofurika katika Usiku wa Kusi ndani ya Dar Live
Rapa Chin Bees akiimba na mashabiki
Chin Bees akiimba na mashabiki kiitikio cha Wimbo wa Sweet Mangi
Mashabiki wakifuatilia kwa makini shoo ya Chin Bees
Rapa Nyandu Toz akiimba na mashabiki wimbo wake wa 26 Number
Nyandu Tozz akiendelea kuwapagawisha mashabiki
Rapa Country Boy akichana na mashabiki wimbo wake wa Turn Up

PICHA: MUSA MATEJA /RICHARD BUKOS -GPL

Comments are closed.