WALIMU wawili wa Shule ya Msingi Kibeta Manispaa ya Bukoba wamefikishwa Mahakamani leo asubuhi Septemba 3, 2018 wakikabiliwea na kesi ya mauaji ya Mwanafunzi Sperius Eradius (13) wa darasa la 5.
Walimu hao waliofikishwa mahakama ya wilaya ya Bukoba kusomewa mashtaka yanayowakabili ni Respicius Patrick Mtazangira aliyetoa adhabu ya vibobo na Herieth Gerald aliyedai kupotelewa na mkoba Elieth Gerald.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 17, 2018 na watuhumiwa wote wamerudishwa rumande.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Comments are closed.