Waliofaulu Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Waitwa Kazini, Majina Yapo Hapa
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili Feb 23, 2025 kuwa matokeo ya waomba kazi waliofaulu usaili huo wanatakiwa kuripoti siku ya Jumanne Julai 1, 2025