The House of Favourite Newspapers

Waliojishindia Safari Ya Soka La Afrika Limeitika, Waangwa Leo Kwenda Kuangalia Nusu Fainali Live

0
Pichani washindi hao wakiwa kwenye pozi la furaha kwenye hafla ya kuwaaga.

Dar es Salaam, 5 Januari 2024: Washindi wa Safari ya Soka La Afrika Limeitika wanaangwa leo sasa tayari kwa safari usiku wa kuamkia kesho Jumanne kuelekea kutazama LIVE Nusu fainali ya Soka La Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast.

Washindi hawa wanaokwenda kushuhudia soka walijibu maswali rahisi kuhusu soka na wamejishindia safari iliyolipiwa kila kitu kutoka Tigo pamoja na msharika wake Green Telecom.

Zawadi za pesa taslimu za siku, wiki, mwezi na kubwa ya mil 10, bado zinaendelea. Tuma neno SOKA kwenda 15670 uwe mshindi wa zawadi zijazo. Kila Mtu ni Mshindi.

Leave A Reply