The House of Favourite Newspapers

Waliomuua Kada wa CCM Njombe Wadaiwa Kukiri

0

WATU wanne ambao wametiwa mbaroni kutokana na mauaji ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Njombe, Emmanuel Mlelwa, wamedaiwa kukiri kutenda mauaji hayo  kwa mujibu wa upelelezi wa polisi.

Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka,  na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mashtaka, imewataja watu hao kuwa ni Thadei Walter Mwanyika, George Sanga, Optatus Nkwera na Goodluck Oygen Mfuse.

Soma zaidi katika taarifa ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka iliyoko chini.

Leave A Reply