The House of Favourite Newspapers
gunners X

Waliopandisha Bei ya Sukari Waiona Shughuli ya DC Sabaya – Video

0

 

Ikiwa ni siku chache zimepita tangu serikali kutangaza Bei elekezi ya Sukari kwa kila mkoa bado Baadhi ya Wafanyabiashara wameonekana kutofuata maelekezo hayo ya serikali.

 

Hali hiyo ni kufuatia msako wa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliyoifanya na kubaini idadi kubwa ya Wafanyabiashara kuwalaungua wananchi kwa kuuza Sukari kwa kilo zaidii ya bei elekezi ambayo ni shiliing 2,700 kwa mkoa wa Kilimanjaro na wengine kuuza mpka shiling 3,500 kinyume na maagizo ya serikali.

 

Leave A Reply