Waliozaliwa Mwezi Machi Kukutana Club Legends Leo

LEO Jumamosi Machi 16, 2019, kutafanyika mkesha wa siku ya kuzaliwa kwa John Dillinga ‘djjdakathelegend’  ambapo atapata furusa ya kusherehekea na watu wote waliozaliwa mwezi Machi pale Club Legends karibu na Best Bite Namanga jijini Dar es Salaam.

Wapenda burudani wote watakutana hapo, hivyo fanya kumtaarifu na rafiki yako.   Milango itafunguliwa  kuanzia saa tatu usiku. Kiingilio ni 10,000/- na 15,000/-

Kama umezaliwa mwezi huu  au rafiki yako tuma picha yako au ya kwake kwenda namba hii ya WhatsApp 0754 33 1249 na mtakutana leo na John Dillinga pale Club Legends.


Loading...

Toa comment