Kartra

Wallace Karia Amlilia Hans Pope

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amepokea kwa mshtuko msiba wa Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF Zakaria Hanspope aliyefariki katika Hospitali ya Aga Khan.Toa comment