The House of Favourite Newspapers

Wamarekani Matajiri Zaidi Walio Chini ya Miaka 25 kwa Mwaka 2018

Tokeo la picha la blue ivyBlue Ivy – Ana utajiri wa $1 Billion (Sh. trilioni. 2.28)

Huyu ni mtoto wa wanamuziki Beyonce na Jay Z, akiwa na umri wa miaka sita ambapo utajiri wa wazazi wake moja kwa moja ni wake.

Kylie Jenner – $50 Million (Sh. 114 bilioni)
Ni mtangazaji wa televisheni, mjasiriamali, mwanamitindo, na kadhalika akiwa na umri wa miaka 20.

 Knox & Vivienne Jolie-Pitt – $67.5 Million (Sh. bilioni 153)
Watoto wa Angelina na Brad ambao kuna siku watarithi fedha hizo kutoka kwa wazazi wao.

Kendall Jenner – $18 Million (Sh. bilioni 41)
Ndugu wa familia ya kina Kardashian.  Ni mwanamitindo akiwa na umri wa miaka 20.

Gigi Hadid – $13 Million (Sh.
Ana umri wa miaka 23 na ni mwanamitindo.

Watoto wa familia ya Gates – $10 Million (Sh. bilioni 22.8 kila mmoja)
Billy Gates amewapangia watoto wake kila mmoja Sh. blioni 22.8) ili wasihangake maishani.

 Jaden Smith – $8 Million (Sh. bilioni 18)
Ni rapa, mwigizaji na kadhalika.  Ni mtoto wa Will na Jada Smith, waigizaji, wanamuziki na kadhalika.

 Zendaya – $5 Million (Sh. bilioni 13)
Ni mwigizaji wa filamu mbalimbali.

 

 

Comments are closed.