The House of Favourite Newspapers

WAMBURA ATANGAZA KUACHANA NA SOKA, AFIKISHWA KISUTU – Video

IKIWA ni saa chache kabla ya kupanda kiznimbani, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura ametangaza kuachana na masuala ya soka kuanzia leo Jumanne, Februari 11, 2019.

Hata hivyo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfikisha Wambura katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za rushwa zinazomkabili.

Comments are closed.