Wanafunzi Chuo cha Ualimu Wajikuta Mikononi mwa Polisi

WANAFUNZI zaidi ya 400 wa Chuo cha Ualimu Moshi zamani Mong’are kilichopo Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro wamefunga barabara na kuzuia shughuli nyingine za usafirishaji wakishinikiza serikali kuingilia kati sakata la utapeli wa zaidi ya Sh.milioni 75 za malipo ya ada

 

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeingilia kati maandamano hayo na kuwakamata wanafunzi wa Chuo hicho.

Taarifa zaidi tunakuletea.


Loading...

Toa comment